sw_tn/mic/01/01.md

20 lines
453 B
Markdown

# neno la Yahwe likanijia
"neno la Yahwe Mungu ameongea"
# Yahwe
Hili ni jina la Mungu ambalo alilojifunua kwa watu wake katika Agano la Kale.
# Mmorashti
Hii inamaana anatoka Morashti ambao ni mji katika Yuda.
# katika siku za Yotahamu, Ahazi, na Kezekia, wafalme wa Yuda
"wakati Yotahamu, Ahazi, na Hezekia walipokuwa wafalme wa Yuda"
# lile neno aliloliona kuhusiana na Yerusalemu
"Ono aliloliona kuhusiana na watu wa Samaria na Yerusalemu"