# neno la Yahwe likanijia "neno la Yahwe Mungu ameongea" # Yahwe Hili ni jina la Mungu ambalo alilojifunua kwa watu wake katika Agano la Kale. # Mmorashti Hii inamaana anatoka Morashti ambao ni mji katika Yuda. # katika siku za Yotahamu, Ahazi, na Kezekia, wafalme wa Yuda "wakati Yotahamu, Ahazi, na Hezekia walipokuwa wafalme wa Yuda" # lile neno aliloliona kuhusiana na Yerusalemu "Ono aliloliona kuhusiana na watu wa Samaria na Yerusalemu"