sw_tn/mat/28/18.md

20 lines
404 B
Markdown

# Nimepewa mamlaka yote
"Baba yangu amaenipa mamlaka yote"
# dunuani na mbinguni
"Mbingini" na "duniani"zimetumika pamoja kumaanisha kila kitu na kila mmoja duniani na mbinguni.
# mataifa yote
Hapa "mataifa" inamaanisha watu. "kwa watu wote kwa kila taifa"
# kwa jina
Hapa "jina" linamaanisha mamlaka. 'kwa mamlaka"
# Baba ... Mwana
hIvi ni vyeo maalumu vinavyoonesha uhusiano wa Yesu na Mungu.