# Nimepewa mamlaka yote "Baba yangu amaenipa mamlaka yote" # dunuani na mbinguni "Mbingini" na "duniani"zimetumika pamoja kumaanisha kila kitu na kila mmoja duniani na mbinguni. # mataifa yote Hapa "mataifa" inamaanisha watu. "kwa watu wote kwa kila taifa" # kwa jina Hapa "jina" linamaanisha mamlaka. 'kwa mamlaka" # Baba ... Mwana hIvi ni vyeo maalumu vinavyoonesha uhusiano wa Yesu na Mungu.