sw_tn/mat/27/62.md

36 lines
728 B
Markdown

# maandalio
Hii ni siku ambayyo watu waliandaa mabo yao kwa sababu ya sabato
# walikusanyika pamoja kwaPilato
"walikutana na Pilato"
# yule mdanganyifu alipokuwa hai
"wakati mdanganyifuYesu alipokuwa hai"
# alisema, 'baada ya siku tatu atafufuka tena.'
"alisema kwamba baada ya siku tatu atafufuka tena"
# agiza kwamba kaburi lilindwe salama
"waagize maaskari wako kulilinda kaburi"
# siku ya tatu
siku ya 3
# kumuiba
"kuiba mwili wake"
# na kusema kwa watu, 'Amefufuka kutoka wafu.'
"na kuwaambia watu kwamba amefufuka kutoka wafu"
# Na udanganyifu wa mwisho utakuwa mbaya kuliko wa kwanza
"kama watawadanganya watu kwa kusema hivyo, itakuwa vibaya kuliko alivyowadanganya watu kwa kusema kuwa yeye ni Kristo"