# maandalio Hii ni siku ambayyo watu waliandaa mabo yao kwa sababu ya sabato # walikusanyika pamoja kwaPilato "walikutana na Pilato" # yule mdanganyifu alipokuwa hai "wakati mdanganyifuYesu alipokuwa hai" # alisema, 'baada ya siku tatu atafufuka tena.' "alisema kwamba baada ya siku tatu atafufuka tena" # agiza kwamba kaburi lilindwe salama "waagize maaskari wako kulilinda kaburi" # siku ya tatu siku ya 3 # kumuiba "kuiba mwili wake" # na kusema kwa watu, 'Amefufuka kutoka wafu.' "na kuwaambia watu kwamba amefufuka kutoka wafu" # Na udanganyifu wa mwisho utakuwa mbaya kuliko wa kwanza "kama watawadanganya watu kwa kusema hivyo, itakuwa vibaya kuliko alivyowadanganya watu kwa kusema kuwa yeye ni Kristo"