sw_tn/mat/27/43.md

16 lines
392 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Viongozi wa Wayahudi wanaendelea kumkejeli Yesu
# Kwa sababu alisema, 'Mimi ni Mwana wa Mungu.'
"Kwa sababu Yesu alisema kuwa yeye ni Mwana wa Mungu"
# Mwana wa Mungu
Hiki ni cheo cha maalumu cha Yesu ambacho kinaelezea uhusiano na Mungu
# Na wale wanyang.nyi waliokuwa wamesulibiwa pamoja naye
"Na wale wanyanga'nyi ambao maaskari waliwasulibisha pamoja na Yesu"