# Sentensi unganishi Viongozi wa Wayahudi wanaendelea kumkejeli Yesu # Kwa sababu alisema, 'Mimi ni Mwana wa Mungu.' "Kwa sababu Yesu alisema kuwa yeye ni Mwana wa Mungu" # Mwana wa Mungu Hiki ni cheo cha maalumu cha Yesu ambacho kinaelezea uhusiano na Mungu # Na wale wanyang.nyi waliokuwa wamesulibiwa pamoja naye "Na wale wanyanga'nyi ambao maaskari waliwasulibisha pamoja na Yesu"