sw_tn/mat/27/27.md

28 lines
638 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Hii inaanzisha habari ya kusulibiwa kwa Yesu
# kundi kubwa la maaskari
"kikosi cha maaskari
# wakamvua
"kumvulisha nguo"
# nyekundu
"nyekundu yenye mng'ao
# taji ya miiba
"taji iliyotengenezwa kwa matawi ya miiba" au "taji ilitengenezwa ka matawi yalyo na miiba"
# mwanzi katika mkono wake wa kuume
Walimpa Yesu ashikilie fimbo kuonesha kuwa wafalme hushilia fimboya enzi. walifanya hivi kumkejeli.
# salalmu mfalme wa Wayahudi
walisema hivi kumkejeliYesu. walikuwa wakimwita Yesu "mfalme, wa Wayahudi," lakini kwa hakika hawakuamini kuwa Yesu alikuwa mfalme. Lakini walichokuwa wakisema kilikuwa kweli.