# Sentensi unganishi Hii inaanzisha habari ya kusulibiwa kwa Yesu # kundi kubwa la maaskari "kikosi cha maaskari # wakamvua "kumvulisha nguo" # nyekundu "nyekundu yenye mng'ao # taji ya miiba "taji iliyotengenezwa kwa matawi ya miiba" au "taji ilitengenezwa ka matawi yalyo na miiba" # mwanzi katika mkono wake wa kuume Walimpa Yesu ashikilie fimbo kuonesha kuwa wafalme hushilia fimboya enzi. walifanya hivi kumkejeli. # salalmu mfalme wa Wayahudi walisema hivi kumkejeliYesu. walikuwa wakimwita Yesu "mfalme, wa Wayahudi," lakini kwa hakika hawakuamini kuwa Yesu alikuwa mfalme. Lakini walichokuwa wakisema kilikuwa kweli.