sw_tn/mat/27/23.md

20 lines
283 B
Markdown

# ametenda
"ambalo Yesu ametenda"
# walipaza sauti
"walipiga kelele"
# akanawa mikono yake mbele ya umati
Pilato alifanya hivi kama ishara ya kuwa yeye hawajibiki kwa kifo cha Yesu
# damu
"damu" inamaanisha damu ya mtu "kifo"
# yaangalieni haya wenyewe
"huu ni wajibu wenu"