# ametenda "ambalo Yesu ametenda" # walipaza sauti "walipiga kelele" # akanawa mikono yake mbele ya umati Pilato alifanya hivi kama ishara ya kuwa yeye hawajibiki kwa kifo cha Yesu # damu "damu" inamaanisha damu ya mtu "kifo" # yaangalieni haya wenyewe "huu ni wajibu wenu"