sw_tn/mat/27/06.md

28 lines
599 B
Markdown

# si halali kuiweka fedha hii
"Sheria zetu hazituruhusu kuiweka hii"
# Kuiweka hii
"kuiweka fedha hii"
# hazina
ahaili ni eneo ambalo waliweka ile fedha waliyotumia kwa mahitaji ya hekaluni nakwa makuhani.
# gharama ya damu
Hii ni nahau inayomaanisha pesa i;iyotumika kumlipa mtu aliyeua mtu. "Pesa iliyolipwa kwa ajili ya kuuawa kwa mtu"
# shamba la mfinyanzi
Hili n ishamba ambalo lilikuwa limenunuliwa kwa ajili ya kuwazikia wageni waliofia Yerusalemu
# hilo shamba limekuwa likiitwa
"watu huliita shamba hilo"
# hadi leo hii
Hadi wakati ambao Mathayo alikuwa anaandika kitabu hiki.