# si halali kuiweka fedha hii "Sheria zetu hazituruhusu kuiweka hii" # Kuiweka hii "kuiweka fedha hii" # hazina ahaili ni eneo ambalo waliweka ile fedha waliyotumia kwa mahitaji ya hekaluni nakwa makuhani. # gharama ya damu Hii ni nahau inayomaanisha pesa i;iyotumika kumlipa mtu aliyeua mtu. "Pesa iliyolipwa kwa ajili ya kuuawa kwa mtu" # shamba la mfinyanzi Hili n ishamba ambalo lilikuwa limenunuliwa kwa ajili ya kuwazikia wageni waliofia Yerusalemu # hilo shamba limekuwa likiitwa "watu huliita shamba hilo" # hadi leo hii Hadi wakati ambao Mathayo alikuwa anaandika kitabu hiki.