sw_tn/mat/26/65.md

16 lines
348 B
Markdown

# Kuhani Mkuu alirarua mavazi yake.
Kuchana mavazi ilikuwa ni ishara ya huzuni na hasira.
# amekufuru
kwa kufuru hii, inamaanisha kuwa Yesu alikuwa akidai kuwa yeye ni sawa na Mungu
# Je, twahitaji tena ushahidi?
"hatuhitaji kusikia ushahidi mwingine"
# Tayari mmesikia
kiwakilishi cha "mme" kikokatika wingi kinamaanisha wajumbe wa baraza.