# Kuhani Mkuu alirarua mavazi yake. Kuchana mavazi ilikuwa ni ishara ya huzuni na hasira. # amekufuru kwa kufuru hii, inamaanisha kuwa Yesu alikuwa akidai kuwa yeye ni sawa na Mungu # Je, twahitaji tena ushahidi? "hatuhitaji kusikia ushahidi mwingine" # Tayari mmesikia kiwakilishi cha "mme" kikokatika wingi kinamaanisha wajumbe wa baraza.