sw_tn/mat/26/62.md

36 lines
997 B
Markdown

# hawa wanakushuhudia nini dhidi yako?
"unajibu nini juu ya ushuhuda huu dhidi yako?"
# Mwana wa Mungu.
Hili ni jina mashuhuri ambalo hueleza uhusiano kati ya Kristo na Mungu.
# Mungu aishivyo
Tazama 16:13
# Umesema jambo hilo wewe mwenyewe.
Yesu anathibitisha kwamba yeye "ndiye Kristo, Mwana wa Mungu. "Kama ulivyosema, Mimi ndiye" au "Umekubaliana na ukweli huo"
# Lakini nakuambia, tangu sasa na kuendelea
Neno "wewe" ni la wingi. Yesu anamwambia kuhani mkuu na kwa wengine waliokuwapo hapo.
# Tangu sasa na kuendelea mtamwona Mwana wa Adamu.
Maana zinaweza kuwa: 1) Watamuona Mwana wa Adamu baadaye kwa wakati ujao au 2) kwa "sasa" Yesu anamaanisha wakati wa kifo chake, kule kurudi kwake kutoka kwa wafu, na kupaa kwake kwenda mbinguni.
# Mwana wa Adamu
Yesu anatumia nafsi ya tatu kuongea juu yake
# Upande wa mkono wa kulia wenye nguvu.
"Upande wa mkono wa kulia wa Mungu mwenyezi"
# Akija katika mawingu ya mbinguni.
"Akisafiri kuja duniani katika mawingu ya mbinguni."