sw_tn/mat/26/45.md

20 lines
349 B
Markdown

# Bado mmelala tu na kijipumzisha
Ninasikitika kwamba bado mmelala na kupumzika"
# Saa imekaribia.
"Muda umefika."
# na Mwana wa Adamu anasalitiwa
"kuna mmoja wenu anamsaliti mwana wa Aadamu"
# Mikono ya wenye dhambi.
Neno "mikono" linamaanisha mamlaka ya kutawala. "Watu wenye dhambi."
# Tazameni
"Zingatia kile ambacho nataka kuwaambia."