# Bado mmelala tu na kijipumzisha Ninasikitika kwamba bado mmelala na kupumzika" # Saa imekaribia. "Muda umefika." # na Mwana wa Adamu anasalitiwa "kuna mmoja wenu anamsaliti mwana wa Aadamu" # Mikono ya wenye dhambi. Neno "mikono" linamaanisha mamlaka ya kutawala. "Watu wenye dhambi." # Tazameni "Zingatia kile ambacho nataka kuwaambia."