sw_tn/mat/26/42.md

40 lines
645 B
Markdown

# Akaenda zake.
"Yesu alienda zake."
# mara ya pili ... mara ya tatu
mpangilio kwa nafasi za namba
# Nisipokinywea.
"Isipokuwa kukinywea kikombe hiki cha mateso."
# Baba yangu.
Hili ni jina mashuhuri la Mungu ambalo hueleza uhusiano kati ya Mungu na Yesu.
# Macho yao yalikuwa mazito.
"Walikuwa wakisinzia- sinzia sana."
# hili haliwezi kuepukika
"lazima nikinywee"
# kama jambo hili
J"ambo hili" inamaanisha kikombe na kile kilichomo.
# na ni lazima nikinywee
"lazima nikinywee" lazima nikinywee kikombe cha mateso"
# mapenzi yako yatimizwe
"kile utakacho kifanyike"
# macho yako yalikuwa mazito
"walikuwa na usingizi mzito"