# Akaenda zake. "Yesu alienda zake." # mara ya pili ... mara ya tatu mpangilio kwa nafasi za namba # Nisipokinywea. "Isipokuwa kukinywea kikombe hiki cha mateso." # Baba yangu. Hili ni jina mashuhuri la Mungu ambalo hueleza uhusiano kati ya Mungu na Yesu. # Macho yao yalikuwa mazito. "Walikuwa wakisinzia- sinzia sana." # hili haliwezi kuepukika "lazima nikinywee" # kama jambo hili J"ambo hili" inamaanisha kikombe na kile kilichomo. # na ni lazima nikinywee "lazima nikinywee" lazima nikinywee kikombe cha mateso" # mapenzi yako yatimizwe "kile utakacho kifanyike" # macho yako yalikuwa mazito "walikuwa na usingizi mzito"