sw_tn/mat/26/30.md

40 lines
728 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuwafundisha wanafunzi wake wakati wakielekea mlima wa Mizeituni
# Maelezo kwa ujumla
Katika mstari wa 31, Yesu anamnukuu Nabii Zekaria kuonesha kuwa ili kutimiza unabii, wanaaafunzi wake wataondoka.
# Wimbo.
Wimbo wa sifa kwa Mungu.
# kujikwaa
"mtaniacha"
# Kukataa.
"Kuniacha."
# kwa kuwa imeandikwa
Kwa kuwa nabii zekaria aliandika tangu awali katika maandiko"
# Nitampiga
kiwakilishi "ni" kinamaanisha Mungu. Inamaanisha kuwa Mungu atasababisha au kuruhusu watu kumwumiza na kumwua Yesu
# mchungaji ... na kondoo wa kundi
Yesu na wanafunziwake
# Kondoo wa kundi watatawanyika
"Watawatawanya kondoo wote wa kundi"
# Baada ya kufufuka kwangu
"Baada ya Mungu kunifufua"