# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwafundisha wanafunzi wake wakati wakielekea mlima wa Mizeituni # Maelezo kwa ujumla Katika mstari wa 31, Yesu anamnukuu Nabii Zekaria kuonesha kuwa ili kutimiza unabii, wanaaafunzi wake wataondoka. # Wimbo. Wimbo wa sifa kwa Mungu. # kujikwaa "mtaniacha" # Kukataa. "Kuniacha." # kwa kuwa imeandikwa Kwa kuwa nabii zekaria aliandika tangu awali katika maandiko" # Nitampiga kiwakilishi "ni" kinamaanisha Mungu. Inamaanisha kuwa Mungu atasababisha au kuruhusu watu kumwumiza na kumwua Yesu # mchungaji ... na kondoo wa kundi Yesu na wanafunziwake # Kondoo wa kundi watatawanyika "Watawatawanya kondoo wote wa kundi" # Baada ya kufufuka kwangu "Baada ya Mungu kunifufua"