sw_tn/mat/25/41.md

28 lines
431 B
Markdown

# Ndipo atawaambia
"Ndipo mfalme atawaambia"
# Mlio laaniwa.
"enyi watu ambao Mungu amewalaani."
# Moto wa milele ambao umeandaliwa.
"Moto wa milele ambao Mungu ameandaa."
# Malaika wake.
Wasaidizi wake.
# Uchi lakini hamkunivika.
"Nilikuwa uchi lakini hamkunipa nguo."
# Mgonjwa na niko kifungoni.
"Nilikuwa mgonjwa na nilikuwa kifungoni."
# nikiwa mgonjwa na nikiwa kifungoni
"nilikuwa mgonjwa na nilikuwa gerezani"