# Ndipo atawaambia "Ndipo mfalme atawaambia" # Mlio laaniwa. "enyi watu ambao Mungu amewalaani." # Moto wa milele ambao umeandaliwa. "Moto wa milele ambao Mungu ameandaa." # Malaika wake. Wasaidizi wake. # Uchi lakini hamkunivika. "Nilikuwa uchi lakini hamkunipa nguo." # Mgonjwa na niko kifungoni. "Nilikuwa mgonjwa na nilikuwa kifungoni." # nikiwa mgonjwa na nikiwa kifungoni "nilikuwa mgonjwa na nilikuwa gerezani"