sw_tn/mat/25/31.md

28 lines
655 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaanza kuwaambia wanafunzi wake jinsi atakavyowahukumu watu atakaporudi wakatiwa mwisho
# Mwana wa Adamu
Yesu anatumia nafsi ya tatu kuongea juu yake mwenyewe
# Mataifa yote yatakusanyika mbele zake.
"Atayakusanya mataifa yote mbele zake."
# Mbele zake.
"Mbele za uso wake."
# Mataifa yote.
"Watu wote kutoka kila nchi."
# kama vile mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi
Yesuanatumia msemo kuonesha jinsi atakavyowatenganisha watu
# atawaweka kondoo mkono wake wa kuume, bali mbuzi atawaweka mkono wake wa kushoto
atawaweka watu wenye haki upande wake wa kuume na atawaweka wenye dhambi upande wake wa kushoto