# Sentensi unganishi Yesu anaanza kuwaambia wanafunzi wake jinsi atakavyowahukumu watu atakaporudi wakatiwa mwisho # Mwana wa Adamu Yesu anatumia nafsi ya tatu kuongea juu yake mwenyewe # Mataifa yote yatakusanyika mbele zake. "Atayakusanya mataifa yote mbele zake." # Mbele zake. "Mbele za uso wake." # Mataifa yote. "Watu wote kutoka kila nchi." # kama vile mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi Yesuanatumia msemo kuonesha jinsi atakavyowatenganisha watu # atawaweka kondoo mkono wake wa kuume, bali mbuzi atawaweka mkono wake wa kushoto atawaweka watu wenye haki upande wake wa kuume na atawaweka wenye dhambi upande wake wa kushoto