sw_tn/mat/24/45.md

16 lines
503 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea na mithali yake ya bwana na mtumwa kufafanua kuwa wanafunzi wake wanapaswa kujiandaa kwa ajili y a kurudi kwa Yesu.
# Hivyo ni nani mwaminifu, mtumwa mwenye akili, ambaye bwana wake...wakati?
"Hivyo ni nani mwaminifu, mtumwa mwenye akili? Ndiye yule ambaye bwana wake...wakati."
# Awape chakula chao
"Awape watu chakula chao katika mji wa bwana wake"
# Kweli nawambia
"Nawaambieni ukweli" Hii inaongeza msisitizo wa kile ambacho Yesu atakuja kusema baadaye.