# Sentensi unganishi Yesu anaendelea na mithali yake ya bwana na mtumwa kufafanua kuwa wanafunzi wake wanapaswa kujiandaa kwa ajili y a kurudi kwa Yesu. # Hivyo ni nani mwaminifu, mtumwa mwenye akili, ambaye bwana wake...wakati? "Hivyo ni nani mwaminifu, mtumwa mwenye akili? Ndiye yule ambaye bwana wake...wakati." # Awape chakula chao "Awape watu chakula chao katika mji wa bwana wake" # Kweli nawambia "Nawaambieni ukweli" Hii inaongeza msisitizo wa kile ambacho Yesu atakuja kusema baadaye.