sw_tn/mat/24/43.md

20 lines
497 B
Markdown

# ikiwa bwana mwenye nyumba ... nyumba yake kuvamiwa
Yesu anaatumia mfano wa bwana na mtumwa kufafanua kuwa wansfunzi wake wanatakiwa kujiandaa kwa ajili ya kurudi kwa Yesu
# Mwizi.
Yesu anasema atakuja wakati ambao watu hawamtarajii, siyo kwamba atakuja kuiba.
# Angekuwa amelinda.
"Angelinda nyumba yake" kuisalimisha.
# Na asingeruhusu nyumba yake ivamiwe.
"Asingeruhusu mtu yeyote kuingia ndani ya nyumba yake aibe vitu."
# Mwana wa Adamu
Yesu anatumia nafasi ya tatu kujisemea yeye