# ikiwa bwana mwenye nyumba ... nyumba yake kuvamiwa Yesu anaatumia mfano wa bwana na mtumwa kufafanua kuwa wansfunzi wake wanatakiwa kujiandaa kwa ajili ya kurudi kwa Yesu # Mwizi. Yesu anasema atakuja wakati ambao watu hawamtarajii, siyo kwamba atakuja kuiba. # Angekuwa amelinda. "Angelinda nyumba yake" kuisalimisha. # Na asingeruhusu nyumba yake ivamiwe. "Asingeruhusu mtu yeyote kuingia ndani ya nyumba yake aibe vitu." # Mwana wa Adamu Yesu anatumia nafasi ya tatu kujisemea yeye