sw_tn/mat/24/19.md

28 lines
373 B
Markdown

# Wao ambao wana mtoto.
"wanawake wenye mimba"
# katika siku hizo
"wakati huo"
# kukimbia kwenu kusiwe
"kwamba msikimbie"
# Wakati wa baridi.
"Majira ya baridi."
# kama siku hizo zisingefupishwa, hakuna ambaye angeokoka
"kama Mungu hatazifupisha siku zadhiki watu wote wangekufa"
# Wenye mwili
Watu.
# siku hizo zitafupishwa
"Mungu atazifupisha siku za dhiki"