# Wao ambao wana mtoto. "wanawake wenye mimba" # katika siku hizo "wakati huo" # kukimbia kwenu kusiwe "kwamba msikimbie" # Wakati wa baridi. "Majira ya baridi." # kama siku hizo zisingefupishwa, hakuna ambaye angeokoka "kama Mungu hatazifupisha siku zadhiki watu wote wangekufa" # Wenye mwili Watu. # siku hizo zitafupishwa "Mungu atazifupisha siku za dhiki"