sw_tn/mat/24/12.md

32 lines
687 B
Markdown

# uovu utaongezeka
"watu watafanya dhambi zaidi na zaidi"
# Upendo wa wengi utapoa.
Maana ya karibu: 1."watu wengi hawatawapenda wenzao." au 2."watu wengi hawatampenda Mungu."
# atakayevumilia
"yeyote atayebaki na uvumilivu"
# mpaka mwisho
haieleweki kama "mwisho" inamaanisha mtu anapokufa, au wakati dhiki itakapokoma, au mwisho wa nyakati wakati Mungu atakapojionesha kuwa mfalme. jambo l a kuzingatia hapa ni uvumilivu usiokoma
# ataokolewa
"Mungu atamwokoa mtu huyo"
# Hii injili ya ufalme itahubiriwa
"Watu watahubiri ujumbe juu ya utawala wa Mungu"
# Mataifa yote.
"Watu wote katika sehemu zote."
# na ndipo ule mwisho
"mwisho wa ulimwengu" aua "mwisho wa nyakati"