sw_tn/mat/23/34.md

28 lines
730 B
Markdown

# nawatuma
"nitawatuma." Hapa "ni" inamaanisha Yesu.
# juu yenu patatokea damu zote za wenye haki zilizomwagwa duniani
"Mungu atawahukumu kwa mauaji ya watu wenye haki"
# kuanzia damu ... kwa damu
"kutoka mauji hadi ... mauaji"
# Kutoka...Abeli...to...Zekaria.
Abeli alikuwa mhanga wa kwanza katika mauaji, na Zakaria huenda akafikiriwa kuwa wa mwisho kuuwawa na Wayahudi hekaluni.Watu hawawaili wanawakilisha mauaji ya watu wote wenye haki
# Zakaria.
Siyo baba yake na Yohana Mbatizaji.
# mliyemuua
Yesu hamaanisha watu wale aliokuwa akisema nao kuwa ndio waliomua Zekaria. Anamaanisha kuwa mababu zao ndio waliomuua.
# Kweli nawaambieni
"Nawaambia ukweli." Hii inaongeza msisitizo wa kile Yesu atakachosema baadye.