# nawatuma "nitawatuma." Hapa "ni" inamaanisha Yesu. # juu yenu patatokea damu zote za wenye haki zilizomwagwa duniani "Mungu atawahukumu kwa mauaji ya watu wenye haki" # kuanzia damu ... kwa damu "kutoka mauji hadi ... mauaji" # Kutoka...Abeli...to...Zekaria. Abeli alikuwa mhanga wa kwanza katika mauaji, na Zakaria huenda akafikiriwa kuwa wa mwisho kuuwawa na Wayahudi hekaluni.Watu hawawaili wanawakilisha mauaji ya watu wote wenye haki # Zakaria. Siyo baba yake na Yohana Mbatizaji. # mliyemuua Yesu hamaanisha watu wale aliokuwa akisema nao kuwa ndio waliomua Zekaria. Anamaanisha kuwa mababu zao ndio waliomuua. # Kweli nawaambieni "Nawaambia ukweli." Hii inaongeza msisitizo wa kile Yesu atakachosema baadye.