sw_tn/mat/23/27.md

8 lines
347 B
Markdown

# kwa kuwa mnafanana na makaburi yaliyopakwa chokaa... kichafu
hii ni kejeli inayoonesha kuwa Mafarisayo na waandishi wanaonekana kuwa safi nje, lakini ndani ni wachafu
# makaburi yaliyopakwaa chokaa
"makaburi ambayo mtu ameyapaka chokaa" Wayahudi walipakaa makaburi kwa chokaa ili kuepusha kuyagusa. Kugusa kaburi ilihesabiwa kuwa ni unajisi.