sw_tn/mat/22/45.md

24 lines
803 B
Markdown

# Sentewnsi unganishi
Huu nu mwisho wa jitihada za viongozi wa dini kutaka kumkamata Yesu kwa maswali mengi
# Maelezo kwa ujumla
Huu ni mwisho wa sehemu ya habari hii inayoanzia 19:1, ambayo inaelezea habari za Yesu akihudumia Yuda
# Kama Daudi anamwita Kristo "Bwana," kwa namna gani awe mtoto wa Daudi?
"Daudi anamwita Yeye Bwana, kwa hiyo Kristo lazima awe zaidi kuliko mzao wa Daudi."
# Kama Daudi tena anamwita Kristo.
Daudi amemrejea Yesu kama "Bwana" kwa sababu Yesu hakuwa tu mzao wa Daudi, lakini pia alikuwa bora kuliko Daudi.
# kumjibu neno
"Neno" inamaanisha kile amabacho watu husema. "kumjibu yeye chochote" au " kumjibu"
# maswali zaidi
Inamaanisha kuwa hakuna aliyemuuliza maswali ya jinsi hiyo ambayo yalikusudiwa kuwaYesu angeyajibu kimakosa ili viongozi wa dini wamkamate