# Sentewnsi unganishi Huu nu mwisho wa jitihada za viongozi wa dini kutaka kumkamata Yesu kwa maswali mengi # Maelezo kwa ujumla Huu ni mwisho wa sehemu ya habari hii inayoanzia 19:1, ambayo inaelezea habari za Yesu akihudumia Yuda # Kama Daudi anamwita Kristo "Bwana," kwa namna gani awe mtoto wa Daudi? "Daudi anamwita Yeye Bwana, kwa hiyo Kristo lazima awe zaidi kuliko mzao wa Daudi." # Kama Daudi tena anamwita Kristo. Daudi amemrejea Yesu kama "Bwana" kwa sababu Yesu hakuwa tu mzao wa Daudi, lakini pia alikuwa bora kuliko Daudi. # kumjibu neno "Neno" inamaanisha kile amabacho watu husema. "kumjibu yeye chochote" au " kumjibu" # maswali zaidi Inamaanisha kuwa hakuna aliyemuuliza maswali ya jinsi hiyo ambayo yalikusudiwa kuwaYesu angeyajibu kimakosa ili viongozi wa dini wamkamate