sw_tn/mat/22/08.md

24 lines
396 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuelezea mfano
# walioalikwa
"Wale ambao nimewaalika"
# Makutano ya njia kuu.
"Mahali ambapo barabara hukutana." mfalme anawatuma watumishi kwenye maeneo ambayo wana uhakika mkubwa wa kupata watu.
# wema na wabaya
"watu wabaya na watu wema"
# Hivyo ukumbi wa harusi ulijaa watu
"kwa hivyo wageni waliujaza ukumbi wa harusi"
# ukumbi
chumba kikubwa