# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuelezea mfano # walioalikwa "Wale ambao nimewaalika" # Makutano ya njia kuu. "Mahali ambapo barabara hukutana." mfalme anawatuma watumishi kwenye maeneo ambayo wana uhakika mkubwa wa kupata watu. # wema na wabaya "watu wabaya na watu wema" # Hivyo ukumbi wa harusi ulijaa watu "kwa hivyo wageni waliujaza ukumbi wa harusi" # ukumbi chumba kikubwa