sw_tn/mat/21/28.md

12 lines
413 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anatumia mfano wa wana wawili kuwakemea viongozi wa dini na kufafanua kutokuamini kwao
# Lakini mnafikiri nini?
Yesu anatumia swali ili kuwafanya viongozi wa dini wafikirie zaidi juu ya mfano aliotaka kuwaambia. "Niambieni mnafikiri nini juu ya kile ninachotaka kuwaambia"
# akabadilisha mawazo yake
Hii inamlenga yule mwana akifikiri kana kwamba alikuwa na fikra zaidi ili achague