# Sentensi unganishi Yesu anatumia mfano wa wana wawili kuwakemea viongozi wa dini na kufafanua kutokuamini kwao # Lakini mnafikiri nini? Yesu anatumia swali ili kuwafanya viongozi wa dini wafikirie zaidi juu ya mfano aliotaka kuwaambia. "Niambieni mnafikiri nini juu ya kile ninachotaka kuwaambia" # akabadilisha mawazo yake Hii inamlenga yule mwana akifikiri kana kwamba alikuwa na fikra zaidi ili achague