sw_tn/mat/20/intro.md

14 lines
372 B
Markdown

# athayo 20 Maelezo ya Jumla
## Dhana maalum katika sura hii
### Mfano wa mwenye shamba na shamba lake la mizabibu
Yesu anatumia mfano huu (Mathayo 20:1-16) ili kuwafundisha wanafunzi wake kwamba kanuni za Mungu kuhusu kile kilicho sawa ni tofauti na kanuni za binadamu.
## Links:
* __[Matthew 20:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../19/intro.md) | [>>](../21/intro.md)__