# athayo 20 Maelezo ya Jumla ## Dhana maalum katika sura hii ### Mfano wa mwenye shamba na shamba lake la mizabibu Yesu anatumia mfano huu (Mathayo 20:1-16) ili kuwafundisha wanafunzi wake kwamba kanuni za Mungu kuhusu kile kilicho sawa ni tofauti na kanuni za binadamu. ## Links: * __[Matthew 20:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../19/intro.md) | [>>](../21/intro.md)__