sw_tn/mat/20/17.md

40 lines
954 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anatabiri juu ya kifo na ufufuo wake kwa mara ya tatu wakati akisafiri na wanafunzi wake
# alipokuwa akipanda kwenda Yerusalemu
Yesu alikuwa juu ya mlima kwa hiyo watu walipanda kwenda pale.
# Tazama tunaelekea
Yesu anatumia neno "tazama" ili kuwajengea usikivu wanafunzi wake juu kile anachotaka kuwaambia.
# tunaelekea
Kiwakilishi "tu" kinamaanisha Yesu na wanafunzi wake.
# Mwana wa Adamu atatiwa
Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji "mtu fulani atamtoa Mwana wa Adamu"
# mwana wa Adamu ... watamhumkumu ... ata
Yesu anaongea juu yake akitumia nafsi ya tatu. Kama inawezekana unaweza kutafsiri hii kwa kutumia nafsi ya kwanza
# Watamtoa.. ili kumdhihaki
Makuhani wakuu na waandishi watamhukumu na kumtoa kwa watu wa mataifa, na watu wa mataifa watamdhihaki.
# kumchapa
"kumchapa" au "kumpiga kwa mijeredi"
# siku ya tatu
siku ya 3
# atafufuka
Hi inaweza kuelezwa kwa mfumo tendaji. "Mungu atamfufua"