# Sentensi unganishi Yesu anatabiri juu ya kifo na ufufuo wake kwa mara ya tatu wakati akisafiri na wanafunzi wake # alipokuwa akipanda kwenda Yerusalemu Yesu alikuwa juu ya mlima kwa hiyo watu walipanda kwenda pale. # Tazama tunaelekea Yesu anatumia neno "tazama" ili kuwajengea usikivu wanafunzi wake juu kile anachotaka kuwaambia. # tunaelekea Kiwakilishi "tu" kinamaanisha Yesu na wanafunzi wake. # Mwana wa Adamu atatiwa Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji "mtu fulani atamtoa Mwana wa Adamu" # mwana wa Adamu ... watamhumkumu ... ata Yesu anaongea juu yake akitumia nafsi ya tatu. Kama inawezekana unaweza kutafsiri hii kwa kutumia nafsi ya kwanza # Watamtoa.. ili kumdhihaki Makuhani wakuu na waandishi watamhukumu na kumtoa kwa watu wa mataifa, na watu wa mataifa watamdhihaki. # kumchapa "kumchapa" au "kumpiga kwa mijeredi" # siku ya tatu siku ya 3 # atafufuka Hi inaweza kuelezwa kwa mfumo tendaji. "Mungu atamfufua"