sw_tn/mat/20/03.md

20 lines
361 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendela kuelza mfano
# Alienda tena
"Mmiliki wa shamba alienda tena"
# baada ya masaa matatu
saa ya tatu ni sawa na saa tatu asubuhi
# wamesimama bila kazi katika eneo la soko
"Wamesisma eneo la soko pasipo kufanya kazi yeyote"
# eneo la soko
Hili ni eneokubwa la wazi ambapowatu huuza na kununua chakula na bidhaa zingine.