# Sentensi unganishi Yesu anaendela kuelza mfano # Alienda tena "Mmiliki wa shamba alienda tena" # baada ya masaa matatu saa ya tatu ni sawa na saa tatu asubuhi # wamesimama bila kazi katika eneo la soko "Wamesisma eneo la soko pasipo kufanya kazi yeyote" # eneo la soko Hili ni eneokubwa la wazi ambapowatu huuza na kununua chakula na bidhaa zingine.