sw_tn/mat/20/01.md

20 lines
434 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaelzea mfano wa mtu mmoja aliyekuwa anamiliki shamba anayeajiri wafanya kazi, ili kufafanua jinsi atakavyowalipa watu wa ualme wake.
# Kwa maana ufalme wa mbinguni unafanana
Tazama 13:24
# Baada ya kukubaliana
"baada ya mmiliki wa shamba kukubaliana"
# Dinari moja
"malipo ya kibarau ya siku moja"
# aliwatuma kwenda katika shamba lake la mizabibu
aliwatuma kwenda kufanya kazi katika shamba lake